STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumanne, 28 Juni 2016

BREAKING NEWS; MESSI AITWA IKULU NA RAIS WA ARGENTINA..............

Rais wa Argentina amuomba Messi kutengua maamuzi ya kujiuzulu soka la kimataifa



Rais wa Argentina Mauricio Macri amemwita nyota wa soka wa nchi hiyo Lionel Messi kwa lengo la kumuomba atengue maamuzi yake ya kujiuzulu kucheza soka la kimataifa.




 




Messi alifikia maamuzi hayo baada ya timu yake kushindwa kwa mara ya pili mfululizo katika fainali za Copa America huku akiwa miongoni mwa wachezaji waliokosa mikwaju ya Penalti.





 







 “Alimwita na kumueleza namna anavyoona fahari kwa kiwango kizuri kilichoonyeshwa na timu yake katika michuano hiyo huku akimtaka asisikilize maneno ya watu,” ilisema msemaji wa Rais Macri.



 


 Ndani ya miaka mitatu Messi ametinga katika fainali tatu tofauti moja ikiwa ni ya kombe la dunia nchini Brazili mwaka 2014 ambapo walipoteza dhidi ya Ujerumani,na nyingine mbili za Copa America moja ikiwa mwaka 2015 na 2016 zote timu yake ikipoteza dhidi ya Chile 

MASHABIKI WA ARGENTINA WAKIWAPOKEA WACHEZAJI WAO HUKU WAKIBEBA MABANGO YA KUMUOMBA MESSI ASITISHE MPANGO WAKE WA KUTOKUICHEZEA TIMU YA TAIFA;

 Two young Argentina supporters pleaded with Lionel Messi not to leave the Argentina national team

One supporter proudly waved his Messi shirt after yet another Copa America final defeat against Chile
Young fans wrote messages begging for Messi 'not to go' with messages such as 'we love you' everyoneThis young supporter will be too young to have seen all of the Barcelona star's 55 goals for ArgentinaOne avid fans penned a heartfelt letter to the nation's superstar as the tributes continued to pour in Argentina

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox