Hatua ya 16 bora ya michuano ya EURO yamalizika tayari timu zote nane zilizoingia kwenye robo fainali tushazifahamu hii ni baaada ya June 27 2016 kucheza michezo miwili ya mwisho.
Inawezekana hukupata nafasi ya kufahamu timu nane zilizo fuzu katika hatua ya robo fainali,hizi ndio timu nane zilizofuzu katika fainali.
Quarter-finals;
QF1: Poland v Portugal – Thursday 30 June, (Marseille)
QF2: Wales v Belgium – Friday 1 July, (Lille)
QF3: Germany v Italy – Saturday 2 July, (Bordeaux)
QF4: France v Iceland – Sunday 3 July, (Saint-Denis)
Semi-finals;
SF1: Poland/Portugal v Wales/Belgium – Wednesday 6 July, (Lyon)
SF2: Germany/Italy v France/Iceland – Thursday 7 July, (Marseille)
Final
Winner SF 1 v winner SF2 – Sunday 10 July, (Saint-Denis)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni