STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatano, 8 Juni 2016

GWIJI WA SOKA NIGERIA NA BARANI AFRIKA AFARIKI KWA GHAFLA..........

 Tokeo la picha la REST IN PEACE

Nigeria wamepata pigo baada ya taarifa kwamba Stephen Okechukwu Keshi aka ‘the Boss’ amefariki ghafla mapema leo asubuhi.

 https://www.bellanaija.com/wp-content/uploads/2013/02/Stephen-Keshi.jpg
Mchezaji huyo wa zamani  ambaye pia alimpoteza mkewe Kate mwaka jana aliyekuwa na umri wa miaka 33, kwa ugonjwa wa kansa, inaarifiwa amekufa kutokana na matatizo ya moyo huko Benin, Edo State.

 http://theeagleonline.com.ng/wp-content/uploads/2015/12/Stephen-and-Kate-Keshi-e1449764413704-320x180.png
 http://theeagleonline.com.ng/wp-content/uploads/2015/12/Keshi-and-wife-e1449766833928-320x180.jpg

Kwa mujibu wa wanafamilia na marafiki zake wa karibu, Keshi hakuonesha dalili zozote za kuumwa. Alikuwa akiishi na watoto wake wanne pamoja na mama yake mzazi.

Mwaka 2013 aliweka rekodi baada ya kuipa Nigeria kombe la Mataifa ya Afrika na kuwa kocha pekee mzawa kufanya hivyo. 

Pia anashilikilia rekodi ya kuwa kocha wa pili kushinda kombe hilo akiwa kama mchezaji na baadaye kocha.

 http://trumpetmediagroup.com/downloads/1876/download/bitblt-640xNone-62948b14a3b4192e529d5aa419e0002a1e776b5e/Stephen%20Keshi.jpg?cb=86191f1b97b25aaba4d16a16cbfe77d9
Mtu mwingine aliyeweza kufanya hivyo ni Mahmoud El-Gohary wa Misri.

Aliiwakilisha Nigeria kuanzia mwaka 1982, akiwa na umri wa miaka 20, mpaka mwaka 1994, mara nyingi aliitumikia Nigeria kama nahodha na kufunga magoli muhimu hasa ukizingatia nafasi yake aliyokuwa akicheza, kama beki wa kati.

Vile vile aliwahi kuifundisha Togo na Nigeria katika kombe la dunia, vilevile Mali.

http://theeagleonline.com.ng/wp-content/uploads/2014/07/Stephen-Keshi.jpg



Stephen Okechukwu Keshi
Date of birth 23 January 1962
Place of birth Azare, Bauchi State, Nigeria
Date of death 7 June 2016 (aged 54)
Place of death Benin City, Edo State, Nigeria
Height 1.85 m (6 ft 1 in)
Playing position Defender
Senior career*
Years Team Apps (Gls)
1979 ACB Lagos 10 (1)
1980–1984 New Nigeria Bank 42 (4)
1985 Stade d'Abidjan 13 (2)
1986 Africa Sports 22 (2)
1986–1987 Lokeren 28 (6)
1987–1991 Anderlecht 99 (18)
1991–1993 RC Strasbourg 62 (9)
1993–1994 RWDM 40 (1)
1995 CCV Hydra 20 (1)
1996 Sacramento Scorpions 16 (3)
1997–1998 Perlis FA 34 (4)
Total
386 (51)
National team
1981–1995 Nigeria 64 (9)
Teams managed
2004–2006 Togo
2007–2008 Togo
2008–2010 Mali
2011 Togo
2011–2015 Nigeria

  

                                   MAFANIKIO;

Player

Club
New Nigeria Bank FC
  • West African Club Championship (2): 1983, 1984
Stade d'Abidjan
  • Coupe Houphoet Boigny (2): 1985, 1986
Africa Sports
  • Côte d'Ivoire Premier Division (1): 1986
  • Côte d'Ivoire Coupe (1): 1986
Anderlecht
International
Nigeria

Manager

Nigeria

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox