Taasisi inayo jihusisha na masuala ya soka ya CIES Football Observatory leo imetoa study yao ambayo inaonesha wachezaji 100 wenye thamani ya juu kwa sasa ulimwenguni kutoka ligi tano bora Ulaya.
Katika orodha hiyo, nota wa Barcelona Lionel Messi ameibuka kidedea kuwa na thamni kubwa ya Yuro milioni 211.1 sawa na pauni 163, hiyo imetokana na ubora aliozidi kuuonesha msimu wa ligi ulioisha hivi karibuni.
Neymar Jr. ameshika nafsi ya pili akimshinda nyota wa Real Madrid na Ureno Real Madrid Cristiano Ronaldo ambaye anashika nafasi ya tatu.
Mshambuliaji wa Tottenham Harry Kane ndio kinara wa wachezaji wote wa EPL akiwa na thamani ya Yuro milioni 112.5.
Kane anafuatiwa kwa karibu na Anthony Martial wa Manchester United, Paul Pogba na Gareth Bale na wengine.
ORODHA KAMILI
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni