STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatano, 13 Julai 2016

ORODHA YA VILABU TAJIRI DUNIANI.......



 



Klabu ya Manchester United imeorodheshwa ya tano kwa utajiri duniani na jarida la Forbes, thamani yao ikiwa imepanda kwa asilimia saba.

 Manchester United kicked off a 10-year, $1.1bn (£0.83bn) kit deal with adidas for the 2015-16 season

Klabu ya NFL, Dallas Cowboys, ndiyo inayoongoza thamani yake ikiwa $4bn (£3.03bn), na ni mara ya kwanza kwa klabu ambayo haichezi kandanda kuongoza katika orodha hiyo tangu kuanzishwa kwake 2011.

 Dallas Cowboys head coach Jason Garrett gathers his new players for a mid-practice talk on May 6
United, walioongoza orodha hiyo 2011 na 2012, wana thamani ya $3.32bn (£2.52bn).

Real Madrid ni wa pili kwa $3.65bn (£2.77bn) na Barcelona wa tatu $3.55bn (£2.69bn).

Real Madrid captain Sergio Ramos (centre) holds the Champions League trophy aloft in May this year

United, klabu pekee ya Uingereza katika orodha hiyo, walisaidiwa sana na mkataba wao wa £750m na Adidas, jambo lililoongeza thamani yao licha ya kushindwa kufuzu kwa michuano ya Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya.

Hata hivyo, Manchester United, ndio wenye deni kubwa zaidi miongoni mwa klabu zilizo katika 25 bora.





WORLD'S 50 MOST VALUABLE SPORTS TEAMS 2016, ACCORDING TO FORBES
2016 Rank 2015 Rank Team Owner(s) Current Value ($mil) Current Value (£mil) Sport
1 2 Dallas Cowboys Jerry Jones 4000 3031.22 American Football
2 1 Real Madrid club members 3645 2762.2 Football
3 4 Barcelona club members 3549 2689.45 Football
4 2 New York Yankees Steinbrenner family 3400 2576.54 Baseball
5 5 Manchester United Glazer family 3317 2513.64 Football
6 6 New England Patriots Robert Kraft 3200 2424.98 American Football
7 8 New York Knicks Madison Square Garden 3000 2273.42 Basketball
8 9 Washington Redskins Dan Snyder 2850 2159.75 American Football
9 12 New York Giants Mara family 2800 2121.86 American Football
10 6 Los Angeles Lakers Buss family 2700 2046.07 Basketball
10 22 San Francisco 49ers Denise DeBartolo York, John York 2700 2046.07 American Football
12 11 Bayern Munich club members 2678 2029.4 Football
13 17 New York Jets Woody Johnson 2600 1970.29 American Football
14 9 Los Angeles Dodgers Guggenheim Baseball Management 2500 1894.51 Baseball
14 16 Houston Texans Robert McNair 2500 1894.51 American Football
16 20 Chicago Bears McCaskey family 2450 1856.62 American Football
17 19 Philadelphia Eagles Jeffrey Lurie 2400 1818.73 American Football
18 12 Boston Red Sox John Henry, Thomas Werner 2300 1742.95 Baseball
18 14 Chicago Bulls Jerry Reinsdorf 2300 1742.95 Basketball
20 14 San Francisco Giants Charles Johnson 2250 1705.06 Baseball
21 17 Chicago Cubs Ricketts Family 2200 1667.17 Baseball
22 20 Boston Celtics Wyc & Irving Grousbeck, Robert Epstein, Stephen Pagliuca 2100 1591.39 Basketball
23 36 Arsenal Stanley Kroenke 2017 1528.49 Football
24 22 Los Angeles Clippers Steve Ballmer 2000 1515.61 Basketball
25 29 Green Bay Packers shareholders 1950 1477.72 American Football
26 26 Denver Broncos Pat Bowlen trust 1940 1470.14 American Football
27 24 Baltimore Ravens Steve Bisciotti 1930 1462.56 American Football
28 29 Manchester City Sheikh Mansour bin Zayed Al Nahyan 1921 1455.74 Football
29 37 Golden State Warriors Joe Lacob 1900 1439.83 Basketball
29 32 Pittsburgh Steelers Dan Rooney, Art Rooney II 1900 1439.83 American Football
31 27 Indianapolis Colts Jim Irsay 1875 1420.89 American Football
32 35 Seattle Seahawks Paul Allen 1870 1417.1 American Football
33 37 Miami Dolphins Stephen Ross 1850 1401.94 American Football
34 24 Brooklyn Nets Mikhail Prokhorov 1700 1288.27 Basketball
35 NR Atlanta Falcons Arthur Blank 1670 1265.54 American Football
36 31 Chelsea Roman Abramovich 1661 1258.71 Football
37 32 New York Mets Fred & Jeff Wilpon, Saul Katz 1650 1250.38 Baseball
38 27 St Louis Cardinals William DeWitt Jr. 1600 1212.49 Baseball
39 49 Minnesota Vikings Zygi Wilf 1590 1204.91 American Football
40 42 Carolina Panthers Jerry Richardson 1560 1182.18 American Football
41 NR Liverpool John Henry, Thomas Werner 1548 1173.08 Football
42 NR Arizona Cardinals William Bidwill 1540 1167.02 American Football
43 NR Kansas City Chiefs Lamar Hunt family 1530 1159.44 American Football
44 NR San Diego Chargers Spanos family 1525 1155.65 American Football
45 NR New Orleans Saints Tom Benson 1515 1148.08 American Football
46 45 Tampa Bay Buccaneers Glazer family 1510 1144.29 American Football
47 NR Cleveland Browns Jimmy Haslam 1500 1136.71 American Football
47 42 Houston Rockets Leslie Alexander 1500 1136.71 Basketball
49 48 Tennessee Titans Adams family 1490 1129.13 American Football
50 NR Jacksonville Jaguars Shahid Khan 1480 1121.55 American Football

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox