NAHODHA wa timu ya Taifa ya Ureno, Cristiano Ronaldo ameuonyesha umma kuwa yeye ni mtu wa ajabu baada ya kuamua kumkabidhi kiungo Luis Nani kiatu cha Silva alichopewa kama zawadi baada ya kufunga mabao matatu na kusaidia upatikanaji wa mengine mawili kwenye Michuano ya EURO 2016.
Kiatu cha
dhahabu katika michuano hiyo iliyomalizika jana kwa Ureno kuibuka
mabingwa kufuatia ushindi wa bao 1-0 dhidi ya wenyeji Ufaransa,
kilinyakuliwa na Antoine Griezmann aliyefanikiwa kufunga mabao sita na
kusaidia upatikanaji wa mengine mawili.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni