Katika
hafla hiyo iliyohudhuriwa pia na Waziri wa Mambi ya Ndani, Mwigulu
Nchemba, mke wa rais wa kwanza wa Zanzibar hayati Sheikh Abeid Amaan
Karume, Mama Fatma Karume ambaye ni Mwenyekiti wa Baraza la Wadhamini wa
klabu hiyo, ndiye aliyepokea eneo hilo.
Akizungumza
wakati wa makabidhiano hayo, Mama Karume amesema wao kama Baraza la
Wadhamini wanashukuru sana kupokea eneo hilo, kwani wanaamini ahadi
iliyotolewa na Mwenyekiti wao walipoketi kujdili suala hilo hatimaye
imetimizwa.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni