STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatatu, 12 Septemba 2016

TIZAMA HAPA RATIBA YA LIGI DARAJA LA PILI TANZANIA BARA.............

SHIRIKISHO  la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limetoa orodha ya makundi manne na timu zitakazoshiriki Ligi Daraja la Pili (SDL) inayotarajiwa kuanza baadaye, mwaka huu.
 Tokeo la picha la FOOTBALL PITCH

 

Kwa mujibu wa Bodi ya Ligi (TPLB), chombo maalumu cha kusimamia michezo inayoendeshwa na TFF makundi na timu hizo ni kama ifuatavyo.

 Kundi A
Bulyanhulu FC- Shinyanga

Geita Gold SC- Geita

Mashujaa FC- Kigoma

Milambo SC- Tabora

Polisi Tabora FC- Tabora

Transit Camp FC- Shinyanga

Kundi B
AFC- Arusha

Green Warriors- Dar es Salaam

JKT Oljoro- Arusha

Kitayosa- Kilimanjaro

Madini SC- Arusha

Pepsi- Arusha

Kundi C
Abajalo SC- Dar es Salaam

CDA- Dodoma

Changanyikeni- Dar es Salaam

Cosmopolitan- Dar es Salaam

Kariakoo FC- Lindi

Burkina FC- Morogoro

Kundi D
Namungo FC- Lindi

Mawenzi Market- Morogoro

Mkamba Rangers- Morogoro

Sabasaba United- Morogoro

The Mighty Elephant- Ruvuma

Wenda FC- Mbeya

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox