Jose
Mourinho ameendeleza rekodi mbaya mbele ya Pep Guardiola baada ya
kushuhudia timu yake ya Manchester United ikiwa nyumbani ikifungwa 2-1
dhidi ya Manchester City.
Dalili
za United kupoteza zilianza mapema kufuattia Man City kuanza mpira na
kasi kubwa huku wakipiga pasi nyingi na za uhakika zilizowapoteza kabisa
Man United hasa kwenye eneo la kiungo.
Man
City walipata bao lao la kwanza kupitia kwa Kevin de Bruyne dakika ya
15 baada ya kupokea pasi ya kichwa kutoka kwa Kelechi Iheanacho.
City
waliongeza tena bao la pili kupitia kwa Kelechi Iheanacho dakika ya 36
baada ya kuuganisha mpira uliogonga mwamba baada ya kazi nzuri ya Kevin
de Bruyne.
Man United walipata goli la pekee kupitia kwa Zlatan ambaye aliunganisha mpira uiotemwa kimakosa na kipa wa City Claudio Bravo.
- See more at: http://www.barakampenja.com/2016/09/guardiola-aendeleza-ubabe-kwa-mourinho.html#sthash.dVYIWHV2.dpuf
Jose
Mourinho ameendeleza rekodi mbaya mbele ya Pep Guardiola baada ya
kushuhudia timu yake ya Manchester United ikiwa nyumbani ikifungwa 2-1
dhidi ya Manchester City.
Dalili
za United kupoteza zilianza mapema kufuattia Man City kuanza mpira na
kasi kubwa huku wakipiga pasi nyingi na za uhakika zilizowapoteza kabisa
Man United hasa kwenye eneo la kiungo.
Man
City walipata bao lao la kwanza kupitia kwa Kevin de Bruyne dakika ya
15 baada ya kupokea pasi ya kichwa kutoka kwa Kelechi Iheanacho.
City
waliongeza tena bao la pili kupitia kwa Kelechi Iheanacho dakika ya 36
baada ya kuuganisha mpira uliogonga mwamba baada ya kazi nzuri ya Kevin
de Bruyne.
Man United walipata goli la pekee kupitia kwa Zlatan ambaye aliunganisha mpira uiotemwa kimakosa na kipa wa City Claudio Bravo.
MANCHESTER UNITED (4-2-3-1):
De Gea 6.5, Valencia 6.5, Bailly 5, Blind 6, Shaw 6, Pogba 6, Fellaini
6.5, Mkhitaryan 4.5, Rooney 6.5, Lingard 5, Ibrahimovic 7
Subs - Mata, Martial (for Shaw 81) Smalling, Rashford, (for Lingard 46, 7) Romero, Herrera (for Mkhitaryan 46, 6.5) Schneiderlin.
Booked: Bailly, Fellaini, Ibrahimovic, Rooney
Scorer: Ibrahimovic 42'
MANCHESTER CITY (4-1-4-1):
Bravo 4.5 Sagna 6.5, Stones 7, Otamendi 6.5, Kolarov 6, De Bruyne 8,
Fernandinho 6.5, Silva 7, Sterling 5, Iheanacho 6.5, Nolito 6
Subs: Zabaleta (for De Bruyne 90), Fernando (for Iheanacho 54, 6), Caballero, Navas, Sane (for Sterling 60, 6) Clichy, Garcia.
Booked: Silva
Scorers: De Bruyne 15', Iheanacho 36'
Referee: Mark Clattenburg 6
Star man: Kevin De Bruyne
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni