STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumanne, 25 Oktoba 2016

HABARI MPYA: KOCHA MPYA WA YANGA, MATATANI NA TIMU YAKE YA ZESCO.....


lwadamina
Klabu ya Zesco United ya nchini Zambia imetoa taarifa rasmi kuhusiana na ripoti za kocha wake, George Lwandamina kutua Tanzania kwa ajili ya mazungumzo ya kujiunga na klabu ya Yanga.

Taarifa ya kaimu katibu,  Richard Mulenga  na afisa habari wa Zesco, Katebe Chengo imesema kuwa umepata taarifa za kocha wao kusafiri nchini Tanzania na kama ni kweli atakuwa amevunja mkataba wake.

” Zesco United inapenda kusisitiza kama taarifa za vyombo vya habari ni kweli Lwandamina atakuwa amevunja mkataba wake na klabu..Tunaamini anaelelewa wajibu wake katika mkataba na athari za ukiukaji.”


Uongozi wa Zesco umedai ulimpa Lwandamina ruhusa ya siku tatu kwenda kwenye msiba kwao, Monze na kutarajia atarudi klabuni siku ya Jumanne kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wa Ligi dhidi ya Nkwazi utakaopigwa siku ya Jumatano.

Hii hapa taarifa ya Zesco United kuhusu kocha George Lwandamina…

To∶ ALL MEDIA HOUSES
From ∶ ZESCO UNITED FOOTBALL CLUB
25th October 25, 2016
RE∶ GEORGE LWANDAMINA

Zesco United would like to acknowledge receiving Media reports suggesting that head Coach, George Lwandamina is in Tanzania having talks and at the verge of signing a two year contract with Young Africans Sporting Club.

Lwandamina has a three year running contract that expires in January 2017 and the club has not entered into negotiations to have the contract extended and Lwandamina has not communicated his intentions at the end of the contract.

As far as the Club is concerned, Lwandamina is in Monze attending a family bereavement as he stated on Sunday when he sought permission to leave from the Team Manager, Mr Mabvuto Banda and is expected to return to camp today for the midweek rescheduled game against Nkwazi FC in Lusaka tomorrow.

Zesco United would like to state that if indeed these media reports are true, Lwandamina will be in breach of his contract with the club, we believe he is a professional and is expected to behave as such.
We believe that he is aware of his contractual obligations and implications of a possible breach.
Issued by
Richard Mulenga (Mr) and Katebe Chengo (Ms)
Acting General Secretary and Media Officer

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox