STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumanne, 18 Oktoba 2016

KICHUYA NDIYE MCHEZAJI BORA WA MWEZI SEPTEMBER, VPL

WINGA Shiza Kichuya anayechezea timu ya Simba amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya Vodacom kwa mwezi Septemba msimu wa 2016/17.
Tokeo la picha la SHIZA KICHUYA


Mchezaji huyo wa zamani wa Mtibwa Sugar ambaye amekuwa tegemeo la Wekundu hao kutokana na ubora alionao kwa sasa aliwashinda Adam Kingwande wa Stand United na Omari Mponda wa Ndanda FC.
Kichuya aliisadia timu yake kwa mwezi huo kupata pointi zote 12 katika mechi nne ilizocheza, matokeo ambayo yameifanya Simba iendelee kuongoza Ligi hiyo inayoshirikisha timu 16. Pia alifunga mabao matatu katika mechi mbili kati ya nne ilizocheza timu yake.
Kwa kushinda tuzo hizo ya mwezi, Kichuya atazawadiwa kitita cha sh. 1,000,000 (milioni moja) kutoka kwa wadhamini wa Ligi hiyo, kampuni ya Vodacom Tanzania.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox