STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumanne, 18 Oktoba 2016

BREAKING NEWS; KICHUYA SASA KUTIMKIA AFRIKA YA KUSINI.........

Tokeo la picha la BREAKING NEWS




WAKALA wa wachezaji, Rodgers Mathaba atatua nchini baadaye mwezi huu kwa mpango wa kumpeleka klabu ya Chippa United FC ya Afrika Kusini, winga wa Simba SC, Shizza Ramadhani Kichuya.

 
 
kichuya

Mathaba anakuja kuzungumza na Simba SC pamoja na mchezaji huyo juu ya ofay a Chippa kwenda kucheza Ligi Kuu ya Afrika Kusini.
Tokeo la picha la kichuya 
Mathaba alisema jana kwa simu kutoka Afrika Kusini kwamba Chippa imevutiwa na Kichuya na iko tayari kumnunua. “Ninakuja Dar es Salaam kujaribu kukamilisha huo mpango, kuona kama Simba watakuwa tayari kumuuza Kichuya, kijana mwenye kipaji sana,”alisema.  
 Tokeo la picha la kichuya
Winga wa Simba SC, Shizza Ramadhani Kichuya anatakiwa na Chippa United ya Afrika Kusini

Mathaba ambaye Julai mwaka huu alifanikiwa kumuunganisha mshambuliaji wa Simba SC, Ibrahim Hajib na klabu ya Golden Arrows FC ya Ligi Kuu ya ABSA Afrika Kusini pia, alisema akiwa nchini atazungumza na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF).
 
“Nitazungumza na TFF kwa sababu nimataka kujadiliana nao namna ya kuwasaidia wachezaji chipukizi wa Tanzania kwenda kukomzwa nje,”alisema.

 
Kichuya yupo katika msimu wake wa kwanza Simba SC baada ya kusajiliwa kutoka Mtibwa Sugar ya Morogoro – lakini tayari ametokea kuwa tegemeo la mabao la Wekundu hao wa Msimbazi.


source-bin zubeiry

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox