STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatano, 19 Oktoba 2016

MZEE AKILIMALI: YANGA SI YAKUKODISHWA KAMA MASUFULIA KWENYE SHUGHULI, SAUTI YAKE IPO HAPA


Zikiwa zimebaki siku nne kabla ya kufanyika kwa mkutano mkuu wa dharura wa klabu ya Yanga, Katibu wa baraza Wazee wa Yanga Ibrahim Akilimali amesema yeye pamoja na wanachama wengine hawakubaliani na mchakato wa Manji kuikodi klabu ya Yanga.

Akilimali amehoji lilipotoka deni la zidi ya shilingi bilioni 11 kitu ambacho kimewastusha sana wanachama. Wakati huohuo ikaibuka hoja kwamba Mwenyekiti wa klabu hiyo akodishwe Yanga na neno yake kwa miaka 10.

“Yanga ni klabu kubwa sana yenye historia kubwa, haiwezi ikakodishwa sawa na masurufia ya shuhulini”, amesema Mzee Akilimali.
Tokeo la picha la mzee akilimali
Akilimali amezidi kusema kwamba, Manji angefata utaratibu ili kuwapa nafasi wanachama ya kupatiwa elimu ya faida na hasara ya jambo hilo kabla ya kuwaita wanachama ili wakubali au wakatae mchakato huo kabla ya kutia saini au kutotia saini mkataba huo wa kuthibitisha kukodishwa kwa klabu ya Yanga.

MSIKILIZE HAPA MZEE AKILIMALI

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox