STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumamosi, 15 Oktoba 2016

MBWANA SAMATA AMETAJWA KUWANIA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA AFRICA, ORODHA HII HAPA...


Samatta_01
Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania na klabu ya Genk ya Ubelgiji, Mbwana Samatta ametajwa katika orodha ya wachezaji wanaowania tuzo ya Mwanasoka Bora wa Afrika inayotolewana Shirikisho la Soka Afrika (CAF).

Mbali na Samatta, wachezaji wengine wa Afrika Mashariki, mlinda mlango Dennis Onyango wa Uganda na Victor Wanyama wa Kenya wamejumuishwa katika orodha ya wachezaji 30 wanaowania tuzo ya mchezaj bora Afrika inayoshikiliwa na Pierre Aubameyang wa Gabon.

Hii mara ya tatu kwa Samatta anayeshikilia tuzo ya mchezaji bora wa ndani ya Afrika kujumuishwa katika orodha ya wachezaji bora Afrika.

Orodha kamili iliyotolewa na Shirikisho la Kandanda Afrika hii leo ni kama ifuatavyo.

Riyad Mahrez (Algeria & Leicester City)
2. El Arabi Hillel Soudani (Algeria & Dinamo Zagreb)
3. Islam Slimani (Algeria & Leicester City)
4. Samuel Eto’o (Cameroon & Antalyaspor)
5. Benjamin Mounkandjo (Cameroon & Lorient)
6. Serge Aurier (Cote d’Ivoire & PSG)
7. Eric Bailly (Cote d’Ivoire & Manchester City)
8. Yao Kouasi Gervais ‘Gervinho’ (Cote d’Ivoire & Hebei Fortune)
9. Mohamed Salah (Egypt & Roma)
10. Mohamed El Neny (Egypt & Arsenal)
11. Pierre-Emerick Aubameyang (Gabon & Dortmund)
12. Andre Ayew (Ghana & West Ham)
13. Victor Wanyama (Kenya & Tottenham)
14. William Jebor (Liberia & Wydad Athletic Club)
15. Mehdi Benatia (Morocco & Juventus)
16. Hakim Ziyech (Morocco & Ajax)
17. John Mikel Obi (Nigeria & Chelsea)
18. Kelechi Iheanacho (Nigeria & Manchester City)
19. Ahmed Musa (Nigeria & Leicester City)
20. Cedric Bakambu (DR Congo & Villareal)
21. Yannick Bolasie (DR Congo & Everton)
22. Sadio Mane (Senegal & Liverpool)
23. Kalidou Koulibaly (Senegal & Napoli)
24. Keegan Dolly (South Africa & Mamelodi Sundowns)
25. Itumeleng Khune (South Africa & Kaizer Chiefs)
26. Mbwana Samatta (Tanzania & Genk)
27. Aymen Abdennour Tunisia & Valencia)
28. Wahbi Khazri (Tunisia & Sunderland)
29. Dennis Onyango (Uganda & Mamelodi Sundowns)
30. Khama Billiat (Zimbabwe & Mamelodi Sundowns)

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox