STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatatu, 10 Oktoba 2016

MESSI AMBWAGA RONALDO HUKU RAUL AKIWA KINARA MCHEZAJI BORA WA MUDA WOTE LA-LIGA......

 Tokeo la picha la BEST PLAYER


Moja kati ya habari zinazo-trend katika soka leo ni kuhusiana na list ya wachezaji bora wa muda wote wa LaLiga, kituo cha uchunguzi, histoaria na takwimu za soka Hispania  (CIHEFE) kimetaja majina ya wachezaji bora wa muda wote katika historia ya LaLiga.

 Tokeo la picha la MESSI M10



Licha ya kuwa utafiti huo wa CIHEFE uliotaja list hiyo kuanza kuleta minong’ono katika mitandao, wengi wameshangazwa kuona mshindi wa tuzo tatu za Ballon d’Or Cristiano Ronaldo kuwekwa namba 23 na mpinzani wake wa karibu katika soka Lionel Messi wa FC Barcelona kupewa nafasi ya nne.
 Tokeo la picha la RONALDO CR

adaa

 Tokeo la picha la CIHEFE

Namba moja ya list hiyo amepewa Raul Gonzalez mkongwe wa zamani wa Real Madrid, mkongwe Cesar Rodriguez yupo namba 2, Telmo Zarra namba tatu, Lionel Messi nafasi ya nne na Enrique Castro ‘Quini’ nafasi ya tano, wachezaji kama David Villa yupo nafasi ya 32, Xavi nafasi ya 49 wakati Iker Casillas ameshika nafasi ya 62.






Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox