STORI YA KWANZA;
RAMANI YA UWANJA WA YANGA UFUKWENI HII HAPA;
STORI YA PILI;
BEKI WA ZAMANI ASTON VILLA AJUTIA VIDEO YAKE YA NGONO KUVUJA.
Beki
wa zamani wa Aston Villa, Antonio Luna, ameomba radhi kufuatia kuvuja
kwa mkanda wa video ukimuonesha yeye akifanya mapenzi na mwanamke.
Kipande
kifupi cha video kimeonekana mtandaoni kikimuonesha yeye Luna akiwa na
mwenzake Sergio Enrich wakifanya mapenzi na binti mdogo.
Luna na Enrich wameomba radhi kwa video hiyo inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii.
Wawili hao kwasasa wanacheza soka katika klabu ya Eibar ya Hispania.
Luna
aliichezea mechi 18 Aston Villa kati ya mwaka 2013 na 2014 ambapo
alijiunga nayo kwa dau la paundi milioni mbili akitokea Sevilla, kabla
ya kuondoka na kujiunga kwa mkopo na timu za Verona na Spezia.
Mwaka Jana alipata mkataba wa kudumu katika klabu ya Eibar.
STORY YA TATU;
WATU TISA WATENGENEZA MABAO 1,260 YA PREMIER LEAGUE;
Hawa nyota wa Ligi Kuu England wamekutana na kwa pamoja wametengeneza mabao 1,260.
Nyota hao kila mmoja alikuwa na mabao kadhaa aliyofunga kwa kipindi alichokuwa Ligi Kuu England, kila mmoja akiwa na timu yake.
Ryan
Giggs, Dion Dublin, Alan Shearer, Jimmy-Floyd Hasselbaink, Matt Le
Tissier, Michael Owen, Les Ferdinand, Emile Heskey na Robin van Persie.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni