STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatano, 31 Januari 2018

DEAL DONE: RASMI AUBAMEYANG NI MCHEZAJI HALALI WA ARSENAL

VURUGU za usajili barani Ulaya zimeendelea kushika kasi huku Arsenal leo wamemtambulisha staa wao mpya Pierre Aubameyang (28) leo mchana atakuwa akilipwa paundi £180,000 kwa wiki.
Image may contain: 2 people, people smiling, people standing
Hata hivyo, staa huyo  aliyetoka timu ya Borrusia Dortmund amekuwa akionyesha kiwango cha hali ya juu sana kwa misimu ya hivi karibuni.
Arsenal wanaonekana kulamba dume pamoja na kwamba wamemuachia mshambuliaji wao Alexies Sanchez ambaye amekwenda kujiunga na Manchester United.
Arsenal wamemsajili mshambuliaji huyo kwa kitita cha pauni milioni 55, akiwa ndiye mchezaji aliyesajiliwa ghali zaidi kwenye timu hiyo ya London.
Awali Arsenal walitaka kumpeleka Giroud kwenye kikosi cha Dortmund kwa ajili ya kukamilisha dili la Aubameyang lakini mchezaji huyo mwenye thamani ya pauni milioni 35, aligoma kwenda Ujerumani na kusema kuwa familia yake inataka kubaki London.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox