STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Ijumaa, 17 Aprili 2015

KUELEKEA GEMU YA KESHO CHELSEA v MANCHESTER UNITED:HIZI NDIZO TAKWIMU KATI YA COURTOIS v DE GEA KWA MSIMU HUU


Tukielekea mechi kati ya Manchester United Vs Chelsea kuna mambo mengi ya kuzungumzia. Moja wapo linalozungumziwa sana ni uwezo wa makipa wawili, David De Gea na  Courtois ambao wamelinganishwa kwenye vigezo mbalimbali hapa.
SkySport ndio wameaanda mlinganisho huu mtamu kati ya makipa hawa wanaotegemewa kulinda magoli ya timu zote mbili wikiendi hii kwenye mechi inayosubiriwa kwa hamu sana. Huu mlinganisho ni kwa msimu huu wa 2014/2015 hadi sasa.
Courtois amecheza mechi 27 wakati De Gea amecheza mechi 31, Courtois  ameruhusu magoli 25 De Gea ameruhusu magoli 30 na takwimu nyingine zinaendelea hapo chini.
2

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox