STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatano, 8 Aprili 2015

WILSHERE ADAI YUKO FITI KUREJEA KIKOSI CHA KWANZA.

KIUNGO wa klabu ya Arsenal, Jack Wilshere amesema yuko tayari kurejea katika kikosi cha kwanza baada ya kucheza katika kikosi cha timu ya vijana chini ya umri wa miaka 21 baada ya kujiuguza kwa muda majeraha ya kifundo cha mguu. Nyota huyo wa kimataifa wa Uingereza mwenye umri wa miaka 23 amefanyiwa upasuaji mara mbili katika kifundo cha mguu wake wa kushoto ambao aliumia katika mchezo dhidi ya Manchester United Novemba mwaka jana. Hata hivyo kwasasa Wilshere anaonekana kuwa fiti baada ya kucheza kwa dakika zote tisini katika mchezo huo ambao pia uliwajumuisha nyota wengine kama Mikel Arteta na Abou Diaby. Wilshere amesema unaweza kufanya mazoezi mara nyingi upendavyo lakini huwezi kuwa fiti mpaka utakapopata nafasi ya kucheza. Nyota huyo aliendelea kudai kuwa kwasasa anajiona yuko fiti na yuko tayari kucheza katika kikosi cha kwanza ingawa jambo hilo litaamuliwa na kocha mwenywe

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox