STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Ijumaa, 28 Agosti 2015

JORDAN AYEW NA KASHFA YA KUTOKA NA MPENZI WA MCHEZAJI MWENZAKE.............


Mshambuliaji mpya wa Aston Villa Jordan Ayew ambaye ni mdogo wa Andre Ayew ameingia katika vichwa vya habari baada ya kutoka kimapenzi na mke wa mchezaji mwenzake wa timu ya taifa ya Ghana Afriyie Acquah anayeichezea klabu ya Torino.

Acquah-wife-Ayew-MAIN
Aston-Villa-v-Notts-County-Capital-One-Cup-Second-Round
Jordan

Afriyie Acquah amecheza na Jordan Ayew katika timu ya taifa ya Ghana toka mwaka 2012 lakini kuvuja kwa Audio ambayo inaripotiwa ni sauti ya Amanda mke wa Afriyie Acquah akikiri kuwa katika mahusiano na Jordan Ayew kwa miaka minne inaweza kuleta chuki kati yao.

“Nimekuwa na mahusiano ya kimapenzi na Jordan kwa miaka minne na sio siku nne, alikuwa akinitumia picha za utupu, ametembea na mimi zaidi ya Acquah tumekuwa katika mahusiano pamoja hadi kufikia kuwa kama mke na mume “>>> Amanda

Afriyie-Acquah
Acquah

Jordan Ayew amejiunga na klabu ya Aston Villa msimu huu akitokea klabu ya Lorient ya Ufaransa kwa ada ya pound milioni 8 na amesaini mkataba wa miaka mitano ila kupitia kwa msemaji wa klabu ya Aston Villa jibu la Jordan  ni kuwa klabu haiwezi kuingilia maisha binafsi ya mchezaji.

Afriyie-Acquah-and-his-wife-Amanda (1)
Acquah na mkewe Amanda anayedaiwa kutoka kimapenzi na Jordan

Hivyo tukio hili linaweza kuwafanya wote wakakosa kuitwa timu ya taifa au mmoja wao akaachwa kwani ni ngumu kuwa na wachezaji ambao wapo timu moja sema hawaongei kwa mujibu wa vyanzo vya karibu na watu hao Jordan alikuwa hapendi kuongea na Acquah ila Andre Ayew ambaye ni kaka wa Jordan walikuwa wakiongea.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox