STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Ijumaa, 28 Agosti 2015

WILFRIED BONY ATEMBELEA MAGONGO......

MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Ivory Coast, Wilfried Bony ataikosa mechi ya klabu yake, Manchester City dhidi ya Watford katika Ligi Kuu ya England baada ya kuumia mguu.

Mpachika mabao huyo aliyesajiliwa kwa Pauni Milioni 28 kutoka Swansea City msimu uliopita ameposti picha katika akaunti yake ya Instagram leo akitembelea magongo na mguu wake umefungwa.

Na kocha wa Man City, Manuel Pellegrini amethibitisha Bony hatakuwepo uwanjani kesho, lakini atarejea uwanjani wiki itakayofuata baada ya mechi za kufuzu Kombe la Mataifa ya Afrika, akienda kuichezea Ivory Coast Septemba 5. 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox