STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumamosi, 29 Agosti 2015

RATIBA YA MICHEZO YA WIKENDI HII EPL NA LA-LIGA.....



Fixtures

Ligi Kuu mbili zinazopendwa zaidi ukanda wa Afrika Mashariki Ligi Kuu Hispania na Uingereza August 29 na 30 kuna michezo kadhaa inapigwa katika viwanja tofauti Hispania na Uingereza

 Ratiba za mechi zote za La-liga na EPL za wikendi hii.

1
Huu ni muda wa mechi za Ligi Kuu Uingereza kwa saa za Afrika Mashariki
  1. Newcastle Vs Arsenal                14:45
  2. Aston Villa Vs Sunderland       17:00
  3. Bournemouth Vs Leicester      17:00
  4. Chelsea Vs Crystal Palace        17:00
  5. Liverpool Vs West Ham           17:00
  6. Man City Vs Watford               17:00
  7. Stoke Vs West Brom                17:00
  8. Tottenham Vs Everton           19:30
Jumapili August 30:
  1. Southampton Vs Norwich    15:30
  2. Swansea Vs Man Utd            18:00

2

Huu ni muda wa mechi hizo kwa saa za Afrika Mashariki

  1. Real Sociedad Vs Sporting de Gijón    19:00
  2. Barcelona Vs Málaga                           21:30
  3. Celta de Vigo Vs Rayo Vallecano        23:00
  4. Real Madrid Vs Real Betis                   23:30

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox