STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumamosi, 29 Agosti 2015

KIMBEMBE KWA MOURINHO, FIFA WAINGILIA KATI SAKATA LA EVA CARNEIRO......

 The former Blues first-team doctor was seen looking happy while walking her Beagle dog
Eva akionekana kwa mara ya kwanza baada ya sakata lake na Mourinho.

Shirikisho la Mpira wa Miguu duniani FIFA limepanga kujadili lile sakata la daktari wa Chelsea Eva Carneiro aliyechimbwa mkwara na kutolewa maneno machafu pamoja kufungiwa na kocha wa timu hiyo Jose Mourinho.
carneiro vs mourinho

Carneiro alitolewa maneno makali na Mourinho baada ya yeye (Carneiro) na Jon Fearn kuingia uwanjani kumtibia Eden Hazard wakti Chelsea ilipolazimishwa sare ya goli 2-2 na Swansea ikiwa nyumbani Augost 8 mwaka huu.

Carneiro and physiotherapist Jon Fearn have had their matchday duties revoked for the Eden Hazard incident

Kitendo hicho kilisababisha Eden kutoka nje ya uwanja na kuwaacha wachezaji wa Chelsea wakibaki tisa uwanjani kufutia kadi nyekundu aliyooneshwa golikipa wa timu hiyo Thibaut Courtois.

Kamati ya madaktari ya FIFA itajadili sakata hilo kwenye mkutano wao Septemba 11 mwaka huu. Kamati inatarajia kutoa ushirikiano kwa madaktari wa timu wanaofanya kazi kuhakikisha wachezaji wanakuwa katika hali nzuri.

Mwenyekiti wa kamati hiyo Michael D’Hooghe amesema: “Huu ni mfano mwingine wa ugumu wa kazi kwa madaktari wa timu”.

“Nataka kujadili suala hili na wenzangu na kuona kama tunaweza kutoa tamko kusaidia madaktari wa timu”.

Mourinho alikosolewa baada ya mchezo huo kumalizika kutokana na sentensi aliyoitoa kuhusu madaktari wa timu yake kwenye uwanja wa Stamford Bridge lakini hakurudi nyuma wala hakuomba radhi.

Chelsea doctor Chris Hughes (right) and physio Steven Hughes are Carneiro and Fearn's replacements

 Chris Hughes (kulia) na  Steven Hughes madaktari wa Chelsea kwa sasa

Eva Carneiro has been pictured for the first time since her disagreement with manager Jose Mourinho
Eva Carneiro akiwa mwenye furaha na rafiki yake


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox