STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatano, 2 Septemba 2015

BECKHAM APEWA TUZO YA HESHIMA........


Winga wa zamani wa timu ya taifa ya Uingereza na klabu ya Manchester United David Beckham usiku wa Septemba 1 alipewa Tuzo ya Heshima.

picha za tukio lenyewe
2BE2BA0A00000578-3218853-image-a-51_1441140484174

Licha ya kuwa amestaafu bado mchango na uwezo wake aliyo uonyesha katika soka bado unatambulika na kuheshimika.


2BE258AF00000578-3218853-image-m-13_1441139347180

Beckham akiwa na Giggs

2BE2BA0600000578-3218853-image-a-52_1441140491971

Tuzo hizo za 20 ambazo hujulikana kama Legend of Football Award alipewa na wanachama wa kamati ya Football Extravaganza na alipewa Tuzo hiyo katika ukumbi wa The Grosvenor House London usiku wa Septemba 1.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox