Nyota
huyo mwenye umri wa miaka 25 aling'ara na Colombia wakati wa Kombe la
Dunia na anatarajiwa kumpa changamoto Wojciech Szczesny. Ospina amekataa
ofa ya Valencia.
Ospina
alikuwa mmoja wa makipa waliokuwa kivutio kikubwa katika Kombe la
Dunia, hakiiwezesha Colombia kufika Robo Fainali, ambako ilitolewa na
wenyeji Brazil.
Wakati huo huo; Arsenal, inamtaka pia kiungo wa Sporting Lisbon mwenye thamani ya Pauni Milioni 35, William Carvalho.
Tayari Arsenal imemsajili mshambuliaji nyota wa Chile,A lexis Sanchez kutoka Barcelona
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni