STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Ijumaa, 18 Julai 2014

RIO FERDINAND ATUA QUEENS PARK RANGERS KUMALIZIA SOKA LAKE



Nyumbani na ugenini: Rio Ferdinand akiwa na jezi ya nyumbani na ugenini za klabu yake mpya Loftus Road
Do the write thing: Former England captain signs on a free contract after leaving Manchester United
Nahodha huyo wa zamani wa England akisaini mkataba kama mchezaji huru baada ya kuondoka Manchester United
BEKI Rio Ferdinand amekamilisha vipimo vya afya jana usiku Loftus Road kwa na kujiunga na Queens Park Rangers.

Staa huyo wa zamani wa Manchester United aliwasili London Magharibi Alhamisi usiku wa jana kwa ajili ya kuhamia kwenye timu hiyo iliyopanda daraja msimu huu.
Ferdinand amesaini mkataba wa miezi 12 ambao utakuwa ukimuingizia mshahara wa pauni 70,000 kwa wiki.
Staa huyo mwenye miaka 35 alizungumza na kocha Harry Redknapp katika hoteli moja kati kati ya Jiji la London na wakafikia makubaliano ajiunge na QPR.
Ferdinand alikuwa hana timu kutokana na kutemwa na Manchester United mwezi uliopita.
BIN ZUBEIRY iliandika Juni mwaka huu jinsi ambavyo Rangers walikuwa wamefikia makubaliano na Ferdinand ajiunge nao kwa ajili ya msimu ujao.
Lakini, usajili huo umekuwa ukikwamishwa na sakata ma mshahara baada ya QPR dakika za mwisho kufikiria upya makubaliano binafsi na Ferdinand. Hata hivyo baada ya utata wa hapa na pale sasa Redknapp anafurahia kumnasa Ferdinand.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox