Anatumaini kung`ara: Lukaku atazama zaidi kupata namba ya kudumu katika klabu yake ya Chelsea
Mkali wa mabao: Mshambuliaji wa
Ubelgiji, Lukaku alikuwa katika kiwango cha juu na klabu yake ya
Everton alipokuwa anacheza kwa mkopo msimu uliopita.
MSHAMBULIAJI wa Chelsea, Romelu Lukaku anajifua na klabu yake ya zamani ya Anderlecht kwa lengo la kujiweka fiti kabla ya kuanza msimu mpya wa ligi kuu soka nchini England.
Lukaku bado hajaungana na wachezaji
wenzake kutokana na likizo aliyoipata baada ya kutoka katika fainali za
kombe la dunia na timu yake ya Taifa ya Ubelgiji.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni