KLABU
ya Arsenal imefungwa bao 1-0 na timu ya Nahodha wake wa zamani, Thierry
Henry, New York Red Bulls jana usiku katika mchezo wa kujiandaa na msimu
mjini New Jersey, Marekani.
Bao pekee lililoizamisha Arsenal inayofundishwa Mfaransa, Arsene Wenger lilifungwa na Wright-Phillips dakika ya 33.
Kikosi
cha Arsenal kilikuwa; Szczesny/Martinez dk46, Jenkinson/Bellerin dk46,
Hayden/Miquel dk46, Monreal, Gibbs, Arteta/Diaby dk46, Wilshere/Coquelin
dk46, Ramsey/Flamini dk46, Zelalem/Akpom dk46, Cazorla/Olsson dk71 na
Rosicky/Toral dk71.
New
York Red Bulls; Robles/Meara dk81, Duvall/Kimura dk77, Olave/Armando
dk46, Sekagya/Miazga dk61, Miller/Alexander dk46, Sam/Lade dk81,
Cahill/Bustamante dk62, McCarty/Bover dk70, Oyongo, Henry/Luyindula dk54
na Wright-Phillips/Akpan dk46.
Bradley Wright-Phillips akiwatungua Arsenal
Thierry Henry akimtania Arsene Wenger
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni