STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Alhamisi, 17 Julai 2014

UBORA DUNIANI: GERMANY SASA NAMBARI WANI, SPAIN YATUPWA YA 8, BONGO YAPANDA 7!

MABINGWA WAPYA DUNIANI, Germany, Leo wamewapindua Spain toka Nambari Wani Duniani na kukamata nafasi hiyo katika Listi ya Ubora Duniani iliyotolewa Leo hii na FIFA.
GERMANY-MAPOKEZI1Argentina, ambao walifungwa Bao 1-0 na Germany kwenye Fainali ya Kombe la Dunia huko Maracana, Rio de Janeiro, Brazil Jumapili iliyopita, wameshika Nafasi ya Pili.
Spain, ambao walikuwa Mabingwa Watetezi wa Kombe la Dunia walilotwaa huko Afrika Kusini Mwaka 2010 na kushikilia Namba 1 tangu wakati huo, wametupwa Nafasi ya 8.
Kwa Nchi za Afrika, Nchi ya Juu kabisa ni Algeria ambao walitolewa Raundi ya Pili ya Kombe la Dunia na Germany kwa kufungwa kwa taabu Bao 2-1 na sasa wamekamata Nafasi ya 24 kwa Ubora Duniani.
Tanzania ipo nafasi ya 106 baada kupanda Nafasi 7.
Netherlands wamenufaika sana kwa mafanikio yao huko Brazil kwenye Fainali za Kombe la Dunia kwa kupanda nafasi 12 na kushika Nafasi ya 3.
England imeporomoka Nafasi 10 na sasa wako Nafasi ya 20.
Nchi nyingine zilizotolewa 10 Bora ni Italy na Portugal na zilizoingia humo, pamoja na Netherlands, ni Belgium na France.
Listi nyingine ya Ubora Duniani itatolewa Agosyi 14.
TIMU ZA JUU 30:
1        Germany      [Imepanda Nafasi 1]
2        Argentina    [Imepanda 3]
3        Netherlands [Imepanda 12]

4        Colombia     [Imepanda 4]
5        Belgium       [Imepanda 6]
6        Uruguay [Imeshuka 4]
7        Brazil [Imeshuka 4]
8        Spain [Imeshuka 7]
9        Switzerland  [Imeshuka 3]
10      France [Imepanda 7]
11      Portugal
12      Chile
13      Greece
14      Italy
15      USA
16      Costa Rica
17      Croatia
18      Mexico
19      Bosnia and Herzegovina
20      England
21      Ecuador
22      Ukraine
23      Russia
24      Algeria
25      Côte d'Ivoire
26      Denmark
27      Scotland
28      Romania
29      Sweden
30      Venezuela  
TANZANIA NA JIRANI ZAKE:
101    New Zealand
102    Moldova
103    Latvia
104    Lithuania
105    Bahrain
106    Tanzania    [Imepanda Nafasi 7]
107    Kuwait
108    Luxembourg
109    Rwanda
110    Ethiopia
111    Equatorial Guinea
112    Namibia
113    Haiti
114    Mozambique
115     Sudan

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox