STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Alhamisi, 17 Julai 2014

UEFA CHAMPIONZ LIGI: MATOKEO RAUNDI YA PILI MTOANO!

Mechi za kwanza za Raundi ya Pili ya Mtoano za UEFA CHAMPIONZ LIGI zimekamilika Jumatano Usiku kwa kuchezwa Mechi 5.
Jumanne Usiku zilichezwa Mechi 12.
UCL-2014-15-LOGOHapo Jana, Klabu za FC Steaua Bucureşti ya Romania na FK Aktobe ya Kazakhstan zilipata ushindi wa Ugenini wakati Mechi kati ya Malmö FF ya Sweden na FK Ventspils ya Latvia ilimalizika kwa Sare ya 0-0 na ile ya Legia Warszawa ya Poland na Saint Patrick's Athletic ya Ireland kwisha kwa Sare ya 1-1.
Nayo PFC Ludogorets Razgrad ya Bulgaria, ikicheza Nyumbani, iliinyuka F91 Dudelange ya Luxembourg Bao 4-0.
Marudiano ya Mechi hizi za Raundi ya Pili ya Mtoano ni Wiki ijayo na Washindi 17 wa Raundi hii watatinga Raundi ya Tatu ya Mtoano na kujumuika na Timu 13 zitakazoanza Raundi hii na kuwekewa Droo maalum kupanga Mechi 15.
Baada ya Raundi ya Tatu ya Mtoano inakuja Raundi ya Mchujo, ambayo Klabu za Arsenal, FC Porto, Bayer Leverkusen, Napoli na Athletic Bilbao zitaanzia Raundi hii na Washindi wake kutinga Hatua ya Makundi.
UEFA CHAMIPONZ LIGI
Raundi ya Pili ya Mchujo
Ratiba/Matokeo:
Jumanne Julai 15
Å K Slovan Bratislava (SVK) 1 The New Saints FC (WAL) 0

Cliftonville FC (NIR) 0 Debreceni VSC (HUN) 0
KR Reykjavík (ISL) 0 Celtic FC (SCO) 1
Valletta FC (MLT) 0 QarabaÄŸ FK (AZE) 1
FC BATE Borisov (BLR) 0 KS Skënderbeu (ALB) 0
FC Sheriff (MDA) 2 FK Sutjeska (MNE) 0
HÅ K Zrinjski (BIH) 0 NK Maribor (SVN) 0
FC Santa Coloma (ARM) 0 Maccabi Tel-Aviv FC (ISR) 1
FK Rabotnicki (MKD) 0 HJK Helsinki (FIN) 0
GNK Dinamo Zagreb (CRO) 2 VMFD Žalgiris (LTU) 0
FK Partizan (SRB) 3 HB Tórshavn (FRO) 0
AC Sparta Praha (CZE) 7 FC Levadia Tallinn (EST) 0
Jumatano Julai 16
FC Dinamo Tbilisi (GEO) 0 FK Aktobe (KAZ) 1
Malmö FF (SWE) 0 FK Ventspils (LVA) 0
Legia Warszawa (POL) 1 Saint Patrick's Athletic (IRL) 1
PFC Ludogorets Razgrad (BUL) 4 F91 Dudelange (LUX) 0
Strømsgodset IF (NOR) 0 FC Steaua Bucureşti (ROU) 1
+++++++++++++++++++++++++++++++++++
FAHAMU ZAIDI:
UEFA CHAMPIONZ LIGI 2014/15:
- FAINALI itachezwa Olympiastadion Berlin, Germany
NCHI ZENYE TIMU 4:
-Spain
-England
-Germany
-Italy
NCHI ZENYE TIMU 3:
-Italy
-Portugal
-France
NCHI ZENYE TIMU 2:
-Ukraine
-Russia
-Netherlands
-Turkey
-Belgium
-Greece
-Switzerland
-Cyprus
-Denmark
NCHI ZENYE TIMU 1:
-Zilizobakia 39 [Isipokuwa Liechtenstein ambayo haina Ligi yake]
KLABU ZITAKAZOANZA HATUA YA MAKUNDI:
[Klabu 22]
-Atlético Madrid
-Barcelona
-Real Madrid
-Bayern Munich
­-Borussia Dortmund
- Schalke 04
-Sporting CP
-Paris Saint-Germain
-Monaco
-Olympiacos
-Manchester City
-Juventus
-Shakhtar Donetsk
-Liverpool
-AS Roma
-Chelsea
-Benfica
-Ajax
-Bingwa wa Urusi
-Mshindi wa Pili wa Turkey
-Bingwa wa Belgium
-Bingwa wa Switzerland
**ZITAUNGANA NA TIMU 10 ZITAKAZOFUZU KUTOKA RAUNDI YA MCHUJO NA KUINGIZWA DROO YA KUPANGA MAKUNDI 8 YA TIMU 4 KILA MOJA
-KLABU ZITAKAZOANZA RAUNDI YA MWISHO YA MCHUJO KABLA HATUA YA MAKUNDI:
-Arsenal
-Porto
-Bayer Leverkusen
-Napoli
-Athletic Bilbao
**TIMU 13 ZITAKAZOINGIA MOJA KWA MOJA RAUNDI YA TATU YA MTOANO:
-APOEL
-Red Bul Salzburg
-Aab
-Zenit Saint Petersburg
-Lille
-Copenhagen
-Standard Liège
-BeÅŸiktaÅŸ
-Dnipro Dnipropetrovsk
-Panathinaikos
-Feyenoord
-Grasshoppers
-AEL Limassol
++++++++++++++++++++++++++
MFUMO KAMILI:
STEJI:
- RAUNDI YA KWANZA YA MTOANO
- RAUNDI YA PILI YA MTOANO
- RAUNDI YA TATU YA MTOANO
- RAUNDI YA MCHUJO [Droo 8 Agosti 2014]
-MAKUNDI [Droo 28 Agosti 2014]
-RAUNDI YA MTOANO YA TIMU 32 [Droo 15 Desemba 2014]
-RAUNDI YA MTOANO YA TIMU 16
-ROBO FAINALI [Droo 20 Machi 2015]
-NUSU FAINALI [Droo 24 Aprili 2015]
-FAINALI [27 Mei 2015 Olympiastadion huko Berlin, Germany]

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox