Wachezaji wa
kikosi cha timu ya taifa ya Argentina maarufu kama Albiceleste wametoa pauni
80,000 (Sh milioni 200) Hospital Garrahan inayotibu magonjwa ya
kansa.
Wachezaji wamekubali kufanya hivyo baada
ya wazo lililotolewa na Javier Mascherano ambaye
alipendekeza kiasi cha pauni milioni 14.6 walizopata kwa kuwa washindi wa pili zigawiwe kwa hospitali hiyo.
Kabla yao,
Mesut Ozil wa Ujerumani, alitoa pauni 240,000 (Sh milioni 600) alizozipata kama
bonus kwa watoto wenye shida wa Brazil.
alipendekeza kiasi cha pauni milioni 14.6 walizopata kwa kuwa washindi wa pili zigawiwe kwa hospitali hiyo.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni