SHABIKI mmoja amefariki
dunia baada ya vurugu kati ya mashabiki kabla ya mchezo wa La Liga kati
ya Atletico Madrid dhidi ya Deportivo La Coruna jana. Shabiki huyo wa
Deportivo anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 43aliondolewa katika mto
karibu na Uwanja wa Vincente Calderon unaomilikiwa na Atletico akiwa
amepatwa na mshituko wa moyo, baridi yabisi na majeraha ya kichwani na
kufia hospitalini. Watu saba wangine walitibiwa majeraha madogo madogo
akiwemo polisi mwanamke kutokana na vurugu hizo. Watu 20 walikamatwa na
polisi huku wengine 100 walioanzisha vurugu hizo nao
wakitambuliwa. Vurugu hizo zimelaaniwa vikali na vilabu vyote viwili
pamoja na maofisa wa La Liga. Baadae katika mchezo huo Atletico
walishinda kwa mabao 2-0 ukiwa ni ushindi wao watano mfululizo na
kuwasogelea vinara wa La Liga Real Madrid kwa tofauti ya alama nne.
TANGAZA NASI: +255 655 442 255
CHANZI OPEN SCHOOL
Jumatatu, 1 Desemba 2014
Home
/
Unlabelled
/
SHABIKI MMOJA AFARIKI KATIKA VURUGU HISPANIA KABLA YA MCHEZO WA ATLETICO NA DEPORTIVO.
SHABIKI MMOJA AFARIKI KATIKA VURUGU HISPANIA KABLA YA MCHEZO WA ATLETICO NA DEPORTIVO.
About asantemuya
Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA
Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni