Mchezaji wa zamani wa kimataifa toka nchini Serbia Dejan Stankovic amekumbushia bao lake aliloifungia timu yake ya Inter Milan dhidi ya Genoa mnamo mwaka 2009…
Watu wengi waliipa nafasi Genoa kuifunga Inter iliyoanza msimu vizuri kwa kufunga mabao tisa kwenye mechi nne za ufunguzi wa msimu,Inter ilikuwa na janga la majeraha baada ya washambuliaji wake Samuel Eto’o na Diego Milito kuwa majeruhi.
Lakini Nerazzurri ikiwa inaongoza mabao 2-0 dakika chache kabla ya mapumziko ndipo dunia iliposhuhudia maajabu ya bao la.
“mara zote watu wanaponiuliza juu ya bao langu bora huwa tayari wana majibu. Amelia, aliyekuwa golikipa wa Genoa alishindwa kuudaka mpira baada ya kurudishiwa na beki wake ikambidi aupige mbele ndipo ukamkuta Stankovic aliyeurudisha na kuingia kimiani.
“Nakumbuka siku iyo wachezaji wenzangu pamoja na benchi zima la ufundi likiongozwa na Mourinho wakati huo walinikumbatia na kunipongeza kwa bao
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni