STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatatu, 16 Februari 2015

DAVID LUIZ: ''SINA KINYONGO NA MOURINHO"

 

Beki wa kati klabu ya Paris Saint Germain Raia wa nchini Brazil David Luiz amesema hana chuki na klabu yake ya zamani Chelsea, Licha ya kocha wa klabu hiyo Jose Mourinho kumuonyesha dharau wakati wa uhamisho wake kutimkia kwa mabingwa hao wa ufaransa.
Luiz alisema kuondoka kwake katika klabu ya chelsea sio kwa sababu ya kocha huyo mreno mwenye maneno mengi hapana, bali anaamini kuwa mda wake kuwepo katika klabu hiyo ulikuwa umemalizika na ndio maana aliweza kujiunga na PSG ili kuendeleza makali yake katika mchezo wa soka.

PSG ilitumia kiasi cha kitita Uro milioni 50 kumsajili beki huyo ambae mpaka sasa ameonyesha kiwango cha hali ya juu akiwa na klabu hiyo na hapo kesho yupo tayari kuiwakilisha PSG dhidi ya matajiri wake wa zamani Chelsea katika mchezo wa kombe la klabu bingwa Barani Ulaya.

"Wakati Mourinho ameondoka Real Madrid alisema anataka kuondoka akiwa anajisikia vizuri, mimi nilikuwa sijiskii vizuri nikiwa Chelsea na ndio maana nikasema nataka kuondoka," Luiz aliliambia Gazeti la Dail Mail.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox