KIUNGO wa Real Madrid
Luka Modric ameanza kufanya mazoezi na wenzake kwa mara ya kwanza jana
baada ya kupita kipindi cha miezi mitatu ikiwa ni ishara za kukaribia
kurejea uwanjani baada ya kupona majeruhi yaliyokuwa yakimsumbua. Klabu
hiyo ilithibitisha nyota huyo wa kimataifa wa Croatia kufanya mazoezi
sambamba na wachezaji ambao hawakuanza katika mchezo wa Ligi ya mabingwa
Ulaya ambao Madrid ilishinda kwa mabao 2-0 dhidi ya Schalke
Jumatano. Modric alipata majeruhi wakati akiitumikia timu yake ya taifa
katika mechi ya kufuzu michuano ya Ulaya mwaka 2016 dhidi ya Italia
Novemba mwaka jana. Nyota huyo wa zamani wa Tottenham Hotspurs amekosa
mechi 21 zilizopita za Madrid ikiwamo michuano ya Kombe la Klabu Bingwa
ya Dunia iliyofanyika Desemba mwaka jana.
TANGAZA NASI: +255 655 442 255
CHANZI OPEN SCHOOL
Ijumaa, 20 Februari 2015
MODRIC AANZA KUFANYA MAZOEZI.
About asantemuya
Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA
Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni