
Beki
wa Yanga Juma Abdul (kushoto) akiwania mpira na Gift Bello wa FC
Platinum kwenye mechi iliyopigwa uwanja wa Taifa Jumapili iliyopita
Mgawanyo wa mapato katika mchezo huo ni, VAT 18% Sh. 13,982,033, gharama ya tiketi Sh. 12,380,000, uwanja 15% Sh. 9,794,694.92, gharama za mchezo 15% Sh. 9,794,694.92, TFF 5% Sh. 3,264,898.3, CAF 5% Sh. 3,264,898.31 na Young Africans 60% Sh.39.178,779.66.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni