KOCHA Mkuu wa Taifa Stars, Mart Nooij amewaanzisha benchi Simon Msuva
na Shomari Kapombe kwenye mechi ya Cosafa dhidi ya Madagascar
inayotarajia kuanza jioni hii saa 12:00 kwa saa za Tanzania.
KIKOSI
KINACHOANZA NA NAMBA ZA JEZI ZAO: Deogratias Munish - 20, Erasto Nyoni -
6, Oscar Joshua - 4, Salim Mbonde - 3, Aggrey Morris - 2, Salum
Abubakar 'Sureboy' - 8, Mwinyi Kazimoto - 16, Said Ndemla - 7, John
Bocco - 19, Juma Liuzio - 18, Mrisho Ngasa - 17
Wachezaji wa akiba:
Mwadini Ali - 1, Shomari Kapombe - 15, Haji Mwinyi - 11, Joram Mgeveke - 5, Abdi Banda - 14, Hassan Dilunga - 10, Saimon Msuva - 12, Ibrahim Hajibu - 13
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni