Mbrazil Phillipe Coutinho amewapiga bao wenzake
na kuwa mchezaji bora wa mwaka wa Liverpool.
Raia huyo wa Brazil mwenye umri wa miaka 22,
ametwaa tuzo hiyo ambayo kura zake hupigwa na mashabiki.
Pamoja na hivyo, Coutinho amebeba tuzo nyingine
tatu zikiwemo za bao bora na aliyeoonyesha kiwango cha juu kwa mwaka mzima.
Raheem Sterling ambaye anataka kuondoka
Liverpool yeye amekuwa kinda bora wa mwaka.
TUZO
Player of the Year: Phillipe Coutinho
First Team Players' Player of the
Year: Phillipe Coutinho
Goal of the Year: Phillipe Coutinho
Performance of the Year: Philippe Coutinho
Young Player of the Year: Raheem Sterling
Ladies Players' Player of the Year: Fara
Williams!
Bill Shankley Community Award: Chris Anders
Supporters Club of the Year: OLSC London
Academy Players' Player of the Year: Joao
Carlos
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni