STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Ijumaa, 15 Mei 2015

CHELSEA YAMRUHUSU CECH KUTAFUTA TIMU NYINGINE.

WAKALA wa golikipa wa kimataifa wa Chelsea, Petr Cech amesema mteja wake huyo ameruhusiwa kufanya mazungumzo na vilabu vingine hivyo kuwepo uwezekano wa kumaliza kipindi chake cha miaka 11 akiwa Stamford Bridge. Cech mwenye umri wa miaka 32 ambaye amekuwa na Chelsea toka mwaka 2004, ameitumia timu hiyo kea mechi 16 pekee msimuu huku nyota wa kimataifa wa Ubelgiji Thibaut Courtois akiwa kipa namba moja hivi sasa. Wakala huyo, Viktor Kolar amesema mteja wake bado ana mkataba ambao utamalizika mwaka mmoja ujao lakini tayari ameshapewa ruhusa ya kuzungumza na vilabu vingine vyenye nia ya kumsajili. Kolar aliendelea kudai kuwa Cech anataka kupata timu kubwa mabayo atakuwa na uwezo wa kucheza mara kwa mara jambo ambalo ndio wanalifanyia kazi hivi sasa.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox