United inajiandaa kuwaacha Van Persie na Di Maria aliyesajiliwa kea kitita kikubwa msimu uliopita ili kupunguza malipo ya mshahara wa paundi 500,000 wanaopata wnyota hao ili waweze kumudu gharama za kumleta Bale kutoka Real Madrid.
Bale bado ameendelea kuwa katika mipango ya United katika usajili wa mwaka huu na inaaminika dili lineweza kukamilika na kumrejesha nyota huyo Ligi Kuu baada ya kukaa kea kipindi cha miaka miwili Hispania.
Uhakika wa United kumsajili Bale unatarajiwa kuifanya timu hiyo kuwaacha Van Persie na Di Maria ambao wote kea pamoja na wanakunja kitita cha paundi 250,000 kea wiki
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni