
PIERRE NKURUNZIZA ukiachilia mbali ni mwanafamilia wa siasa na hivi sasa ni Raisi wa Burundi akiwa anazongwa na wananchi wake kuto kugombea tena wadhifa wa urais.
Kiongozi huyu hayupo mbali na mswala ya soka kwani ni kocha wa katika daraja linalo tambulika na chama cha soka Afrika (CUF) na kugundisha timu Union Sporting ya kule Bujumbura.
Pia ni mchezaji wa timu ya vetarani inayo julikana kama
Helleluia FC
Mwaka 2004 alifanikiwa kuanzisha shule ya soka huyo ndo NKURUZINZA.

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni