STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumanne, 9 Juni 2015

JUVENTUS YAMSAJILI KHEDIRA....

Timu ya Juventus wamefanikiwa kuipata saini ya Sami Khedira kutoka Real Madrid ya Hispania

Mchezaji huyo mwenye miaka 28 amekosa namba ya kudumu kwenye kikosi cha Madrid, atajiunga na Juventus kama mchezaji huru ifikapo julai mosi kwa mkataba wa miaka minne na kibibi kizeee hicho cha Turin 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox