STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatatu, 8 Juni 2015

MOURINHO AKIRI KUSAKA MSHAMBULIAJI MPYA CHELSEA.

MENEJA wa Chelsea, Jose Mourinho amebainisha kuwa klabu hiyo itaingia sokoni katika usajili huu wa majira ya kiangazi kutafuta mshambuliaji mpya. Wiki iliyopita kulizuka tetesi kuwa Mourinho alikuwa akitaka kumsajili Radamel Falcao ambaye ameshindwa kung’aa katika Ligi Kuu toka alipochukuliwa kea mkopo na Manchester United kiangazi mwaka jana. 

Nyota huyo wa kimataifa wa Colombia tayari amesharejea katika klabu yake ya Monaco baada ya United kuamua kutomnunua pamoja na kuwa na nafasi ya kufanya hivyo. Akihojiwa Mourinho amesema wanataka kununua mshambuliaji kwasababu wanahitaji kuwa na washambuliaji watatu walio katika kiwango bora. 

Hata hivyo, Mourinho hakuweka wazi na mshambuliaji yupi anayemuhitaji na kudai kuwa wana chaguo zaidi ya moja.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox