STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatano, 10 Juni 2015

QUERETARO YAFIKIRIA KUMTIMUA RONALDINHO.

KOCHA wa klabu ya Queretaro, Victor Manuel amebainisha kuwa timu hiyo inapanga kumuacha nyota wa soka wa kimataifa wa Brazil, Ronaldinho. 

Ronaldinho ambaye toka amewasili nchini Mexico amekuwa akiingia katika migogoro ya hapa na pale na kocha huyo, ameshindwa kupata namba ya kudumu katika kikosi cha kwanza. 

Akihojiwa kocha huyo amesema amekuwa hana msaada katika kikosi chake ndio maana wanafikiria kumuacha msimu ujao. 

Manuel aliendelea kudai kuwa kimasoko nyota huyo anafanya vyema nab ado ana ubora wa hali ya juu lakini wao wanahitaji mchezaji anayeweza kuwasaidia pande zote yaani kimasoko pamoja na uwanjani. 

Ronaldinho amefunga mabao nane katika mechi 25 alizocheza toka alipowasili akitokea Atletico Mineiro mwaka 2014.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox