Manchester United wameitandika Barcelona kwa mabao 3-1 katika mchezo wa kuwania kombe la 'International Champions Cup', mchezo uliopigwa huko California usiku wa kuamkia leo.
Magoli ya United yalifungwa na Wayne Rooney dakika ya 8, Jesse Lingard dakikia ya 65 na Adnan Januzaj dakika ya 90 huku Barcelona wakifunga goli lao kupitia kwa Rafinha dakika ya 90.
Vikosi vilivyokuwa:
Barcelona (4-3-3): Ter Stegen 6 (Masip 45, 6); Adriano 6 (Rakitic 45), Pique 6 (Batra 68, 6), Vermaleen 6 (Mathieu 60, 6), Alba 6; Busquet 6.5 (Gumbau 68, 6), Rafinha 6, Iniesta 6 (Halilovic 68, 6); Sergi Roberto 6.5, Suarez 7.5 (Sandro 68, 6), Pedro 6.5 (Munir 68, 6)
Mfungaji: Rafinha 90
Man Utd (4-3-3): De Gea 6 (Johnstone 62, 6), Darmian 6.5 (Valencia 62, 6.5), Jones 6.5 (Smalling 62, 6), Blind 6 (McNair 62, 6.5), Shaw 6 (Blackett 62, 6.5); Carrick 6.5 (Herrera 62, 6), Schneiderlin 6.5 (Fellaini 62, 5.5), Mata 6 (Perreira 62, 6); Depay 6.5 (Lingaard 62, 6.5), Rooney 6.5 (Januzaj 62, 6), Young 7 (Wilson 62, 6.5)
Wafungaji: Rooney 8, Lingard 65, Januzaj 90
Kadi za njano: Jones, Herrera
Mwamuzi: Baldomero Toledo 6.5
Mchezaji bora wa mechi: Luis Suarez (Barcelona)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni