Straika
wa Colombia, Radamel Falcao leo ameanza mazoezi katika kikosi cha
Chelsea ambacho kinajiandaa na msimu mpya nchini Marekani.
Baada ya mazoezi hayo chini ya Jose Mourinho, Falcao ame-tweet mchana huu akisema:
"Ni furaha kujiunga na timu na kuanza kazi na wachezaji wenzangu Chelsea".
MENEJA wa Arsenal,
Arsene Wenger amesema mawazo ya kustaafu humfanya kuingiwa na hofu.
Meneja huyo raia wa Ufaransa mwenye umri wa miaka 65, anatarajiwa
kutimiza miaka 20 akiwa na Arsenal lakini amesema hana mpango wowote wa
kufuata nyayo za meneja wa zamani wa Manchester United Sir Alex Ferguson
aliyestaafu. Akihojiwa kuhusiana na hilo, Wenger amesema huwa analiwaza
kwa muda usiozidi sekunde tano kwasababu humfanya apate hofu kidogo.
Wenger aliendelea kudai kuwa wakati walipocheza na United alikutana na
Ferguson na kumuuliza kama haoni kama kuna kitu anakikosa lakini
alimjibu kuwa alishafanya ikamtosha kabisa. Wenger ambaye ameiongoza
Arsenal kutetea taji lake la FA msimu uliopita, aliongeza kuwa pamoja na
hayo lakini ni mara chache sana kumkosa Ferguson uwanjani. Wenger
alijiunga na Arsenal akitokea Monaco mwaka 1996.
Copy and WIN : http://ow.ly/KNICZMENEJA wa Arsenal,

Copy and WIN : http://ow.ly/KNICZHOFU YAMUINGIA WENGER
AKIWAZA KUSTAAFU.
MENEJA wa Arsenal, Arsene Wenger amesema mawazo ya kustaafu humfanya
kuingiwa na hofu. Meneja huyo raia wa Ufaransa mwenye umri wa miaka 65,
anatarajiwa kutimiza miaka 20 akiwa na Arsenal lakini amesema hana
mpango wowote wa kufuata nyayo za meneja wa zamani wa Manchester United
Sir Alex Ferguson aliyestaafu. Akihojiwa kuhusiana na hilo, Wenger
amesema huwa analiwaza kwa muda usiozidi sekunde tano kwasababu humfanya
apate hofu kidogo. Wenger aliendelea kudai kuwa wakati walipocheza na
United alikutana na Ferguson na kumuuliza kama haoni kama kuna kitu
anakikosa lakini alimjibu kuwa alishafanya ikamtosha kabisa. Wenger
ambaye ameiongoza Arsenal kutetea taji lake la FA msimu uliopita,
aliongeza kuwa pamoja na hayo lakini ni mara chache sana kumkosa
Ferguson uwanjani. Wenger alijiunga na Arsenal akitokea Monaco mwaka
1996.
Copy and WIN : http://ow.ly/KNICZATLETICO YANASA SAINI
YA NYOTA WA GHANA.
KLABU ya Atletico Madrid imekubali kumsajili kiungo wa kimataifa wa
Ghana Bernard Mensah kutoka klabu ya Vitoria Guimaraes ya Ureno. Hata
hivyo, Atletico watampeleka kiungo huyo kwa mahasimu wao wa La Liga na
majirani zao Getafe. Klabu hiyo ilithibitisha tarifa hizo kupitia
mtandao wake jana huku wakidai kumpeleka kwa mkopo wa msimu mmoja
Getafe. Vitoria na Getafe pia zilithibitisha dili hilo la nyota huyo
mwenye umri wa miaka 20 ambaye ambali na kucheza kama kiungo wa
kushambulia lakini pia anaweza kucheza kama winga.

Copy and WIN : http://ow.ly/KNICZ
Copy and WIN : http://ow.ly/KNICZ
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni