Arsenal imeamka baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 ugenini dhidi ya Crystal Palace.
Arsenal ikitumia mfumo wa 4-2-3-1 ilifanikiwa kuisambaratisha Palace ikiwa nyumbani, Olviere Giroud akianza kufunga bao katika dakika ya 16.
Lakini dakika saba baadaye wenyeji wakasawazisha kabla ya beki wa Palace kujifunga na kuandika bao la pili wakati akitaka kuokoa mkwaju wa Alexis Sanchez.
(4-2-3-1): McCarthy; Ward, Dann, Delaney, Souare; Cabaye, McArthur (Bamford 80mins); Zaha (Chung-Yong 76), Puncheon, Bolasie (Mutch 46); Wickham
Subs not used: Hennessey, Mariappa, Jedinak, Murray
Goal: Ward 28
Booked: McArthur
ARSENAL (4-2-3-1): Cech; Bellerin, Mertesacker, Koscielny, Monreal; Coquelin (Oxlade-Chamberlain 64), Ramsey; Sanchez (Arteta 75), Ozil (Gibbs 83), Cazorla; Giroud
Subs not used: Ospina, Debuchy, Gabriel, Walcott
Goal: Giroud 16, Delaney OG 55
Booked: Coquelin
Referee: Lee Mason
Attendance: 24,732
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni