STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatatu, 17 Agosti 2015

HIKI NDICHO KILICHOMTOKEA MOURINHO KWENYE MITANDAO YA KIJAMII BAADA YA KUFUNGWA NA MANCHESTER CITY....

Jose Mourinho alimaliza wiki kwa uchungu zaidi baada ya jana kulala 3-0 dhidi ya Manchester City katika uwanja wa Etihad.

Kufuatia kumshambulia hadharani daktari wa timu, Eva Carneiro na mtaalam wa viungo, Jon Fearn kwa kitendo cha kumtibu Eden Hazard kwenye mechi waliyotoka sare ya 2-2 na Swansea, Mourinho amedhihakiwa zaidi kwenye mitandao ya kijamii.

Watu wamemkebehi kocha huyo mwenye maneno mengi zaidi duniani.

Hizi ni baadhi ya kejeli kwa Mourinho

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox