KIMWAGA (KATIKATI) AKIPONGEZWA NA ERASTO NYONI BAADA YA KUIFUNGA YANGA, MSIMU ULIOPITA. |
Simba imemchukua kinda Joseph Kimwaga kwa
mkataba wa mwaka mmoja.
Kimwaga anatokea Azam FC na amejiunga na
Simba ambako ataichezea kwa msimu mmoja tu.
Uongozi wa Simba, umethibitisha kumpata
Kimwaga mmoja wa vijana wanaochipukia kwa kasi katika soka nchini.
Kimwaga alikuwa anaibuka kwa kasi, lakini alikwama
baada ya kuanza kusumbuliwa na maumivu.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni