
Kocha wa Chelsea Jose Mourinho anapendwa sana na vyombo vya habari kwasababu kila baada mkutano na waandishi lazima majibu yake yatengenezea habari.
Hivi karibuni amesema kwenye mkutano na waandishi wa habari kwamba msimu huu atashinda makombe matatu ambayo possibliy yatakua ni UEFA,EPL na FA Cup.
Kwenye huo mkutano Jose Mourinho alisema,”Season ambazo naanza kwa matokeo ya 2-2 nyumbani huwa anashinda makombe matatu. Nikiwa na Porto nilipata matokeo ya 2-2 nikashinda matatu, nikiwa na Inter nilipata matokeo ya 2-2 nikashinda makombe matatu. Sasa hivi na Swansea 2-2??”
Lakini wachambuzi wa kumbukumbu wamekumbusha kwamba akiwa na Inter alianza kwa 1-1 na sio 2-2.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni